
Mungu Ni Muumba wa Mbingu na Dunia: Kwa Nini Unapaswa Kumtambua Katika Maisha Yako?
Unaweza kuwa na mipango mingi ya maisha yako. Unaweza kujitahidi kutafuta mafanikio, kujenga biashara, kulea familia na kutimiza ndoto zako.…
Jifunze Biblia kwa kina, chunguza mafundisho ya Kikristo na tafakari maswali muhimu kuhusu imani. Gundua maana ya Maandiko, misingi ya imani, historia ya Ukristo, unabii na mada nyingine zinazokusaidia kuelewa Neno la Mungu na kukua katika imani.

Unaweza kuwa na mipango mingi ya maisha yako. Unaweza kujitahidi kutafuta mafanikio, kujenga biashara, kulea familia na kutimiza ndoto zako.…

Kitabu cha Mwanzo — Mwanzo 1:2-5 Kuna wakati unajitahidi kutafuta kazi, kuendesha biashara au kutimiza mahitaji ya familia, lakini mambo…

Tuna jamii kubwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira tanzania na duniani. vijana tumekua tunajaribu kufanya kila kitu tunachokiona sawa na sio cha wizi ili kujipatia kipato. kutokanaa na changamoto hii, wengi tumejiingiza kwenye betting. je kiblia betting ni jambo sahihi kwa wakristo kufanya?

Soma kauli hii kwa makini: “Aliye na kitu ataongezewa, asiye na kitu atanyang’anywa.” Je, Mungu anawapendelea matajiri na kuwaadhibu maskini?…

Kujiua ni moja ya matatizo yanayoongezeka kwa nchini Tanzania na duniani. Watu wengi wanapitia maumivu makubwa kimya kimya huku wakikosa…

Je, umewahi kujiuliza maombi ni nini hasa na kwa nini Biblia inasisitiza sana umuhimu wa kuomba? Neno maombi (au sala)…