Shiriki katika kueneza kweli

Tueneze Kweli ya Neno la Mungu Pamoja

Saidia watu wengi zaidi kuifahamu kweli ya Neno la Mungu. Shiriki kwa muda, ujuzi, vifaa au fedha, kulingana na uwezo wako.

Maono ya Huduma Yetu

Simama Nasi.
Tueneze Kweli.

Tunalenga kuwafikia Watanzania zaidi ya milioni 10 kwa kweli ya Neno la Mungu.

Tuna maono ya kujenga Ifahamu Kweli Podcast Studio ili kuzalisha mafundisho ya Biblia yatakayojenga imani na kugusa maisha ya watoto, vijana na watu wazima.

Jiunge nasi ili tuifikishe kweli kwa watu wengi zaidi.

Msaada Wako Unawezesha Nini?

  • Kuandaa Mafundisho Bora

    Kuwezesha uzalishaji wa mafundisho ya Biblia yenye ubora na yanayoeleweka.

  • Kujenga Podcast Studio

    Kununua vifaa na kuandaa studio ya Ifahamu Kweli kwa ajili ya kuzalisha maudhui.

  • Kufikia Watanzania Wengi Zaidi

    Kupanua ufikishaji wa mafundisho ya Biblia kwa watoto, vijana na watu wazima.

SHIRIKI KATIKA HUDUMA

Kuna Nafasi Yako Katika Huduma Hii

Unaweza kushiriki kwa vifaa, ujuzi, muda au msaada wa kifedha. Mchango wako unaweza kusaidia kuendeleza mafundisho ya Biblia na kuwafikia Watanzania wengi zaidi kwa kweli ya Neno la Mungu.

Vifaa

Changia kompyuta, camera, maikrofoni au vifaa vingine vitakavyohitajika kuanzisha Ifahamu Kweli Podcast Studio.

Wasiliana Nasi

Ujuzi na Muda

Tumia ujuzi, vipaji na muda wako kusaidia kuandaa na kueneza mafundisho bora ya Neno la Mungu kwa watu wengi zaidi.

Wasiliana Nasi

Msaada wa Kifedha

Changia gharama za kuanzisha studio na kuzalisha mafundisho ya Biblia yatakayowafikia Watanzania wengi zaidi.

Njia za Kuchangia

NJIA ZA KUCHANGIA

Njia za Kuchangia Fedha

Chagua njia inayokufaa na changia moja kwa moja kupitia benki au simu yako.

Michango ya Ifahamu Kweli inapokelewa kupitia akaunti na namba zangu binafsi kwa niaba ya huduma. Kabla ya kulipa, hakikisha jina la mpokeaji ni sahihi.

Equity Bank

Jina la akaunti

NOEL MINJA

Namba ya akaunti

3012111860332

Mixx by Yas

Lipa Namba

NOEL GIPSON MINJA

Namba ya malipo

224663407

Mixx by Yas

Jina la mpokeaji

NOEL GIPSON MINJA

Namba ya simu

+255 656 779 726

Kabla ya kuthibitisha malipo, hakikisha jina la mpokeaji na kiasi unachotuma ni sahihi.