Category Hisia na Afya ya Akili

Jifunze kuelewa hisia, kutunza afya ya akili na kukabiliana na changamoto za kihisia kupitia maarifa na mafundisho ya Biblia.

hasira

Jinsi ya Kudhibiti Hasira Kabla Haijaharibu Maisha Yako

Umewahi kukasirika kiasi cha kusema maneno ambayo baadaye ukajutia? Au kufanya uamuzi ukiwa na hasira, halafu baadaye ukatamani ungejizuia? Huenda…

Soma Zaidi Jinsi ya Kudhibiti Hasira Kabla Haijaharibu Maisha Yako