Afya ya Akili na Kutafuta Msaada
Jifunze kuelewa afya ya akili, kutambua changamoto zinazoweza kukuathiri na namna ya kukabiliana nazo. Pata mwongozo kuhusu kujitunza, kutafuta msaada unaofaa na kuchukua hatua za kulinda ustawi wako wa kihisia.
Kuelewa Afya ya Akili
Afya ya akili huathiri namna tunavyofikiri, kuhisi na kukabiliana na changamoto za maisha. Katika eneo hili, utajifunza kuhusu changamoto mbalimbali za afya ya akili, namna ya kujitunza na wakati wa kutafuta msaada unaofaa.
Jinsi ya Kudhibiti Hasira Kabla Haijaharibu Maisha Yako
Umewahi kukasirika kiasi cha kusema maneno ambayo baadaye ukajutia? Au kufanya uamuzi ukiwa na hasira, halafu baadaye ukatamani ungejizuia? Huenda ni kwa sababu mtu amekudharau, ...
