Biblia na Sayansi

Chunguza maswali yanayohusu uhusiano wa Biblia na sayansi, mtazamo wa Maandiko kuhusu uumbaji na namna ya kuelewa hoja za kisayansi kwa kuzingatia imani ya Kikristo.

Kuelewa Biblia na Sayansi

Tunapojifunza kuhusu ulimwengu, uhai na asili ya mwanadamu, maswali kuhusu Biblia na sayansi hujitokeza. Katika eneo hili, tunachunguza maswali hayo kwa makini, tukizingatia muktadha wa Maandiko na ushahidi wa kisayansi.

kubeti

Je, Kubeti ni Dhambi Kibiblia? Ukweli Usiopingika Kuhusu Kamari na Betting

Tuna jamii kubwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira tanzania na duniani. vijana tumekua tunajaribu kufanya kila kitu tunachokiona sawa na sio cha wizi ...
Je, Mungu Huwapendelea Matajiri Siri ya Ongezeko na Maana ya Kweli ya 'Aliye na Kitu Ataongezewa'.

Je, Mungu Huwapendelea Matajiri? Siri ya Ongezeko na Maana ya Kweli ya ‘Aliye na Kitu Ataongezewa’.

Soma kauli hii kwa makini: "Aliye na kitu ataongezewa, asiye na kitu atanyang'anywa." Je, Mungu anawapendelea matajiri na kuwaadhibu maskini? Kabla hujajibu haraka, unahitaji kujua ...
Maombi ni Nini Kila Kitu Unachopaswa Kujua Kuhusu Kuomba

Maombi ni Nini? Kila Kitu Unachopaswa Kujua Kuhusu Kuomba

Je, umewahi kujiuliza maombi ni nini hasa na kwa nini Biblia inasisitiza sana umuhimu wa kuomba? Neno maombi (au sala) limetajwa mara nyingi sana kwenye ...